Habari Rfi-ki
Burundi : Uhaba wa mafuta wazidi kutatiza shughuli za usafiri
- Autor: Vários
- Narrador: Vários
- Editor: Podcast
- Duración: 0:09:53
- Mas informaciones
Informações:
Sinopsis
Katika makala haya tunaangazia taifa la Burundi linalozidi kushuhudia uhaba mkubwa wa mafuta, hili likitatatiza shughuli za usafiri katika taifa hilo la Africa mashariki. Tumekuuliza unafikiri nini huwa chanzo cha ukosefu wa mafuta katika mataifa yetu? Haya hapa baadhi ya maoni yako.