Habari Rfi-ki

Kenya : Mwanaume awaua wanawake 42, nini sababu ya mauwaji haya

Informações:

Sinopsis

Katika makala haya mshale wetu unalenga taifa la Kenya, ambapo polisi nchini humo wamefaulu kumkamata mshukiwa mkuu wa mauaji wanawake 42, ambao sehemu za miili yao iliyokuwa imekatwa vipande vipande na kuwekwa kwenye magunia kabla ya kutupwa kwenye shimo la kutupa taka. Tunauliza mskilizaji unafikiri nini huchangia mambo kama haya kutokea kwa jamii. Haya hapaa baadhi ya mano yako.