Habari Za Un

Profesa Ngũgĩ wa Thiong’o: Ajabu hata katiba za Afrika ziko kwa lugha za Ulaya

Informações:

Sinopsis

Haki si haki iwapo inatolewa kwa lugha ambayo haileweki kwa wahusika, wamejulishwa washiriki wa mkutano wa pili wa wanazuoni unaofanyika hapa makao makuu ya Umoja wa Mataifa New York, Marekani na pia mtandaoni ukimulika Madaraka, Haki na Binadamu: Utawala wa Sheria na mabadiliko Afrika. Anold Kayanda na maelezo zaidi.