Habari Za Un

Dkt. Tedros: Kifo cha ghafla cha Dkt. Faustine Ndungulile kimenishtua na kunisikitisha

Informações:

Sinopsis

Mkurugenzi mkuu wa shirika la Umoja wa Mataifa  la Afya Duniani WHO, amesema amestushwa na kusikitishwa na kifo cha aliyetarajiwa kushika wadhifa wa mkurugenzi mkuu wa WHO Kanda y Afrika Dkt. Faustine Engelbert Ndungulile kutoka nchini Tanzania. Flora Nducha na taarifa zaidi.