Habari Za Un

UNFPA yasambaza huduma muhimu ya ukunga kwa wakimbizi wa Sudan nchini Chad

Informações:

Sinopsis

Kutokana na idadi kubwa ya wakimbizi wanaoingia Chad wakitoka Sudan kuwa ni wanawake na watoto, Shirika la Umoja wa Mataifa la idadi ya watu na afya ya uzazi,  UNFPA limeimarisha huduma za afya ya wanawake na watoto kama anavyosimulia Selina Jerobon.