Habari Za Un

UN: Lazima kuhakikisha Wasyria wanashika usukani wa mustakbali wao

Informações:

Sinopsis

Ofisi ya mjumbe Maalum wa Umoja wa Mataifa kwa ajili ya Syria (OSE) imesema wakati huu ikifuatilia kwa karibu hali na maendeleo nchini Syria ni muhimu kuhakikisha kwamba Wasyria wanashika usukani wa mustakbali wao na kwamba kuna ujumbe wa pamoja na mshikamono kuhusu hilo kutoka kwenye jumuiya ya kimataifa. Flora Nducha na taarifa zaidi.