Habari Za Un
WHO: Ingawa vifo milioni 12.7 vya malaria vimeepukwa juhudi zaidi zahitajika kutokomeza gonjwa hilo
- Autor: Vários
- Narrador: Vários
- Editor: Podcast
- Duración: 0:01:58
- Mas informaciones
Informações:
Sinopsis
Takwimu mpya zilizotolewa leo na ripoti ya shirika la Umoja wa Mataifa la afya duniani WHO zinaonyesha kuwa ingawa takriban wagonjwa bilioni 2.2 wa malaria na vifo milioni 12.7 vya ugonjwa huo vimeepukwa tangu mwaka 2000 bado ugonjwa huo unaendelea kuwa tishio kubwa la kimataifa la afya hususan katika Kanda ya Afrika ya WHO. Taarifa ya Flora Nducha inafafanua zaidi.