Neno @ttb.twr.org/swahili
Luka 22:1-34
- Autor: Vários
- Narrador: Vários
- Editor: Podcast
- Duración: 0:30:04
- Mas informaciones
Informações:
Sinopsis
Maelezo - Neno ni sehemu ya huduma ya kimataifa ya mafundisho ya biblia nzima ya Thru The Bible. Mfululizo wa mafundisho haya kwanza yaliandaliwa na Dkt. J. Vernon McGee na kutafsiriwa kwa lugha zaidi ya mia moja na kabila. mafundisho hayo yakusudiwa kuwa ya dakika 30 kwenye radio ambayo kwa mpangilio maalum humwezesha msikilizaji kujifunza Biblia nzima. Sasa ujumbe ndizo twakusilishia kwenye mtandao. Twashukuru kwamba umeanza kujifunza mengi zaidi katika Neno la Mungu kwa njia ya ujumbe hizi. Yapendekezwa kwamba usikilize kipindi kimoja kila siku, Jumatatu hadi Ijumaa. Ukifanya hivyo na kuendelea, basi kwa miaka mitano utakuwa umejifunza yote yaliyomo katika Biblia.