Jioni - Voice Of America
Hatua ya Rais wa DRC Felix Tshisekedi kutoa wito wa kutaka mageuzi ya katiba limezua maoni mseto kwa wachambuzi wa siasa DRC na kimataifa. - Desemba 13, 2024
- Autor: Vários
- Narrador: Vários
- Editor: Podcast
- Duración: 0:59:59
- Mas informaciones
Informações:
Sinopsis
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.