Habari Rfi-ki
Mahakama nchini Kenya yaamuru msichana wa miaka 16 anayekiri kushiriki ngono si unyanyasaji
- Autor: Vários
- Narrador: Vários
- Editor: Podcast
- Duración: 0:09:59
- Mas informaciones
Informações:
Sinopsis
Wasikilizaji watoa maoni kuhusu hatua ya Mahakama moja nchini Kenya, kuamuru kwamba msichana wa umri wa miaka 16 anayekiri kushiriki ngono na mwanaume si thibitisho la unyanyasaji wa kigono, uamuzi ambao umeibua hisia kali nchini Kenya.