Nyumba Ya Sanaa
Mchango wa wasanii wa Beni DRC katika juhudi za kuimarisha usalama
- Autor: Vários
- Narrador: Vários
- Editor: Podcast
- Duración: 0:20:02
- Mas informaciones
Informações:
Sinopsis
Nyumba ya sanaa juma hili imekutana na wasanii wa mjini Beni mkoani Kivu kaskazini mashariki mwa Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo ambao wamekuwa wakihimiza amani katika nyimbo zao, sanaa ya muziki ikikaribishwa kwa kiasi kikubwa na watu kutoka rika zote nchini na nje ya nchi. Mwenzangu Ruben Lukumbuka hivi karibuni alikutana na msanii wa Beni mashariki mwa DRC Mukombozi Mabenze almaarufu Tata Charles akielezea historia yake na sanaa ya muziki na hali ya eneo hilo