Habari Za Un

Bila mafunzo watu tutakuwa watumiaji tu wa AI na sio wanaufaika: Hassan Mhelela

Informações:

Sinopsis

Katika kuelekea siku ya uhuru wa vyombo vya habari duniani itakayoadhimishwa Jumamosi Mei 3 ambayo mwaka huu imebeba maudhui yanayoangazia athari za Akili Mnemba au AI katika uhuru wa habari na vyombo vya habari tunazungumza na mmoja wa wanahabari wa siku nyingi ili kufahamu AI inavyoleta mabadiliko katika tasnia ya habari na vyombo vya habari hususan Afrika Mashariki ambako pia pengo la kidijitali ni kubwa. Ungana na Flora Nducha  kwa undani zaidi katika makala hii.