Habari Za Un

UNDP Zambia: Ukulima kupitia miundombinu inayostahimili mabadiliko ya tabianchi

Informações:

Sinopsis

Kupitia mradi wa SCRALA uliowezeshwa na  shirika la Umoja wa Mataifa  la mpango wa maendeleo, UNDP, wakulima wadogo nchini Zambia sasa wanaweza kulima mwaka mzima kwa kutumia miundombinu inayostahimili mabadiliko ya tabianchi kama vile mifumo ya umwagiliaji na vituo vya ukusanyaji mazao, jambo linalochangia kuongezeka kwa tija na upatikanaji wa masoko. Sheila Jepngetich anasimulia zaidi.