Habari Za Un
Jifunze Kiswahili: Maana za neno "MJOLI"
- Autor: Vários
- Narrador: Vários
- Editor: Podcast
- Duración: 0:00:53
- Mas informaciones
Informações:
Sinopsis
Katika kujifunza lugha ya Kiswahili hii leo, mtaalam wetu Onni Sigalla, Mhariri mwandamizi wa Baraza la Kiswahili la Taifa nchini Tanzania, BAKITA, anafafanua maana za neno "MJOLI"