Habari Za Un

UNRWA: Hakuna popote na yeyote aliye salama Gaza ni zahma kila mahali

Informações:

Sinopsis

Kamishina Mkuu wa shirika la Umoja wa Mataifa linalohudumia wakimbizi wa Kipalestina UNRWA, Philippe Lazzarini, ametoa onyo kali kuwa “hakuna sehemu yoyote iliyo salama Gaza, na hakuna mtu aliye salama”akisema  zahma na madhila  yametanda kila kona ya eneo hilo linalokaliwa kimabavu na Israel. Flora Nducha na taarifa zaidi