Habari Za Un

Demokrasia inayotenga katu si demokrasia - Guterres

Informações:

Sinopsis

Leo ni siku ya demokrasia duniani ambapo Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, António Guterres, ameeleza bayana kuwa demokrasia iko hatarini duniani. Asumpta Massoi na taarifa zaidi.