Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii
Wanafunzi zaidi ya 200 watekwa Nigeria, tume ya kuchunguza vurugu Tanzania yaapishwa
- Autor: Vários
- Narrador: Vários
- Editor: Podcast
- Duración: 0:19:58
- Mas informaciones
Informações:
Sinopsis
Habari kuu wiki hii ni siasa za Tanzania zilizosababisha kuundwa kwa tume ya kuchunguza mauaji ya baada ya uchaguzi, kule DRC athari ya mafuriko, tutaangazia ripoti ya WHO kuhusu dhulma dhidi ya wanawake, kule Nigeria tutaangalia utekaji nyara wa wanafunzi zaidi ya 200 pia Mkutano wa G20 kufanyika wikendi hii Afrika Kusini Marekani ikisusia. Mkutano wa COP30 wakamilika Brazil bila mwafaka kuhusu kuachana na mafuta kisukuku.