Sbs Swahili - Sbs Swahili

Tim "bajeti ya leo itasaidia familia nyingi kukabiliana na gharama ya maisha"

Informações:

Sinopsis

Ma milioni yawa Australia kote nchini wanasubiri kwa hamu tangazo la bajeti, kujua kama wata pata afueni kwa gharama ya maisha.