Sinopsis
Listen to interviews, features and community stories from the SBS Radio Swahili program, including news from Australia and around the world. - Sikiza mahojiano, makala na hadithi za jumuiya kutoka Idhaa ya Kiswahili ya SBS Radio, ikijumuisha taarifa za habari kutoka Australia na ulimwenguni.
Episodios
-
Taarifa ya Habari 9 Mei 2025
09/05/2025 Duración: 18minAnthony Albanese akosolewa kwa kumshasha cheo waziri pekee Muislamu katika baraza lake la mawaziri, wakati vyama vya upinzani vya ongeza juhudi yaku wachagua viongozi wao wapya.
-
Adam Bandt akubali kushindwa, asema chama cha Greens kili feli ku kwea mlima Everest
09/05/2025 Duración: 08minAdam Bandt amekubali ameshindwa nakupoteza kiti chake cha Melbourne bungeni, katika matokeo ambayo yame acha chama cha Greens bila kiongozi.
-
Taarifa ya Habari 8 Mei 2025
08/05/2025 Duración: 06minWaziri Mkuu Anthony Albanese amesema mtazamo wa mhula wa pili wa serikali ya Labor, utakuwa kuimarisha mahusiano na washiriki walio ng’ambo, kuhakikisha utulivu wa kiuchumi nyumbani.
-
Betty afunguka kuhusu jinsi yaku badilisha viza yako ukiwa Australia
08/05/2025 Duración: 09minWanafunzi wengi wakimataifa wame wasili nchini Australia, kupitia msaada wa mawakala wa uhamiaji.
-
Chama cha Greens cha kabiliana na matokeo yakukatisha moyo katika uchaguzi wa shirikisho
06/05/2025 Duración: 19minChama cha Greens kina onekana kuwa na viti vichache zaidi ndani ya nyumba ya chini baada ya matokeo ya uchaguzi wa shirikisho wa wikendi iliyo pita ila, wanaweza shikilia usawa wa mamlaka ndani ya Seneti.
-
Taarifa ya Habari 6 Mei 2025
06/05/2025 Duración: 16minAnthony Albanese ata anza muhula wake wa pili kama Waziri Mkuu akiwa na serikali ya wengi, baada ya ushindi mkubwa wa chama cha Labor, chama chake kilishinda viti 86 bungeni.
-
Albanese ashinda uchaguzi wa Shirikisho 2025
03/05/2025 Duración: 04minChama cha Labor kime shinda uchaguzi wa shirikisho wa 2025 na, kita unda serikali.
-
Taarifa ya Habari 2 Mei 2025
02/05/2025 Duración: 18minUchambuzi mpya umetabiri Upinzani wa mseto utapitia uzoefu mubaya zaidi wa matokeo katika muda wa miaka 80 katika uchaguzi mkuu wa kesho.
-
Uchaguzi wa Shirikisho 2025- mazuri, mabaya na maswala ya kukera kutoka wiki tano zilizo pita
02/05/2025 Duración: 10minKampeni za uchaguzi wa shirikisho wa 2025 zina karibia tamati.
-
How to vote in the federal election - Jinsi ya kupiga kura katika uchaguzi wa shirikisho
01/05/2025 Duración: 09minOn election day the Australian Electoral Commission anticipates one million voters to pass through their voting centres every hour. Voting is compulsory for everyone on the electoral roll, so all Australians should familiarise themselves with the voting process before election day. - Siku ya uchaguzi Tume ya Uchaguzi ya Australia inatarajia wapiga kura milioni moja, watapita katika vituo vya kupiga kura kila saa moja. Ni lazima kupiga kura kwa kila mtu ambaye yuko katika sajili yakupiga kura, kwa hiyo wa Australia wote wana stahili jifahamisha na mchakato wa kupiga kura kabla ya siku ya kupiga kura.
-
Taarifa ya Habari 29 Aprili 2025
29/04/2025 Duración: 17minWaziri Mkuu Anthony Albanese ana fanya kampeni katika eneo bunge la chama cha Greens la Griffith, chama cha Labor kikiwa na matumaini yakushinda eneo bunge hilo la ndani ya Brisbane.
-
Jinsi yakuanza biashara yako ndogo Australia
29/04/2025 Duración: 12minKuanza biashara nchini Australia hutoa faida kadhaa. Australia husaidia uvumbuzi na ujasiriamali kupitia miundombinu imara, nguvu kazi yenye ujuzi na mipango ya serikali inayo himiza ukuaji wa biashara ndogo kwa ruzuku, fedha na motisha za kodi.
-
Taarifa ya Habari 28 Aprili 2025
28/04/2025 Duración: 05minWaziri Mkuu Anthony Albanese ametumia ziara katika shirika linalo toa makaazi ya jumuiya katika eneo la Central Coast jimboni, New South Wales kutangaza ahadi ya uchaguzi yenye thamani ya $20 milioni kwa kituo kipya cha kuondoa kiwewe cha wanawake na watoto.
-
SBS Learn Eng pod 35 Jinsi ya kuzungumzia sifa zako kazini #2
23/04/2025 Duración: 15minJe, unajua jinsi ya kuzungumzia sifa zako kazini?
-
Taarifa ya Habari 22 Aprili 2025
22/04/2025 Duración: 17minZaidi ya idadi yawa katoliki milioni 5 nchini Australia wana omboleza, kufuatia kifo cha Papa Francis. Imeripotiwa kuwa Papa alifariki akiwa na miaka 88, baada yaku kumbwa kwa kiharusi na mshtuko wa moyo.
-
Australia ikoje kwa wahamiaji wenye ulemavu
22/04/2025 Duración: 12minKatika mwaka wa 2023, Tume ya Kifalme ilipata kuwa watu wenye ulemavu wali kabiliwa kwa visa vya kubaguliwa nakutengwa, pamoja na vurugu, kunyanyaswa na, unyonywaji na kupuuzwa.
-
Taarifa ya Habari 15 Aprili 2025
15/04/2025 Duración: 15minWaziri Mkuu Anthony Albanese ametupilia mbali madai kuwa sera ya nyumba ya chama chake, ita ongeza bei za nyumba.
-
Msamaha wa Rais Tshisekedi kwa wafungwa wafanya raia wa Rubero kuishi kwa wasiwasi
15/04/2025 Duración: 07minRaia wanao ishi Butembo na miji ya karibu, wamesema wanaishi kwa hofu baada ya zaidi ya wafungwa 100 kuachiwa huru.
-
Taarifa ya Habari 11 Aprili 2025
11/04/2025 Duración: 11minWaziri Mkuu amekabiliana na maswali kuhusu uwezekano wa mkataba wa manowari ya Australia na Marekani pamoja na Uingereza, kufuatia utoaji wa ushuru wa Marekani ambao ume tikisa dunia nzima.
-
Zaidi ya vitabu: Jinsi maktaba hujenga jumuiya
11/04/2025 Duración: 13minMaktba za umma za Australia ni mahali maalum. Ndio, huwa zina kuruhusu ukope vitabu bure ila pia, zina toa utajiri wa miradi na huduma, bure pia na hukaribisha kila mtu, kutoka watoto wachanga hadi wazee.