Jua Haki Zako

Tamaduni na sheria zetu wapi Mipaka ?

Informações:

Sinopsis

Kwenye makala haya  tunajikita na kuzama kuangazia tafauti iliopo kati ya haki, sheria na dhuluma dhidi ya wanawake. Haya yote ni kutoka na familia moja nchini Kenya eneo la Narok, ambayo  inalilia haki baada ya msichana wao kutetendwa vitendo vya kinyama kutokana tamaduni za jamii ya Kisii kumtaka amwange mchanga ndani ya kaburi la aliyekuwa bwana yake kinyume na matakwa yake.Skiza makala haya kufahamu mengi zaidi.