Sbs Swahili - Sbs Swahili

Australia yafafanuliwa: wanafunzi wa kimataifa waonywa dhidi ya utapeli

Informações:

Sinopsis

Onyo la dharura limetolewa kwa wanafunzi wa kimataifa wanaoondoka Australia wasiuze akaunti zao za benki na vitambulisho kwa wahalifu. Polisi ya Shirikisho ya Australia inasema kwamba wanafunzi wanapewa 'pesa ya haraka' - lakini kukubali ofa kama hiyo kunaweza kuwahusisha milele na mitandao ya uhalifu.