Sinopsis
Listen to interviews, features and community stories from the SBS Radio Swahili program, including news from Australia and around the world. - Sikiza mahojiano, makala na hadithi za jumuiya kutoka Idhaa ya Kiswahili ya SBS Radio, ikijumuisha taarifa za habari kutoka Australia na ulimwenguni.
Episodios
-
Taarifa ya habari: Moto Hongkong umeingia siku ya pili,mamia bado hawajapatikana
28/11/2025 Duración: 10minFuata tovuti yetu sbs.com.au/swahili kwa habari na maelezo zaidi
-
Yaliyojiri Afrika:Guinea-bissau yakumbwa na mapinduzi ya jeshi
27/11/2025 Duración: 08minJason Nyakundi ni mwanahabari kutoka Nairobi,Kenya na anatujuza yanayoendelea Afrika wiki hii.
-
Australia yafafanuliwa:waathiriwa wa ukatili wa kijinsia wahimizwa kuripoti
27/11/2025 Duración: 12minMmoja kati ya wanawake watano na mmoja kati ya wanaume kumi na sita wamekumbwa na ukatili wa kingono wakiwa watu wazima huko Australia, kulingana na Ofisi ya Takwimu ya Australia ya 2023 - na bado asilimia tisini na mbili ya wanawake hawaripoti unyanyasaji wao wa hivi karibuni wa kingono. Ripoti mpya inataka kuelewa kwa kisheria miongoni mwa waathirika, huduma za mstari wa mbele, na wataalamu wa sheria, ili kusaidia waathirika kuifahamu mifumo changamano ya haki za jinai na kushughulikia viwango vya juu vya kuacha kesi za unyanyasaji wa kingono.
-
Australia yafafanuliwa: mkutano wa G20 umekamilika
27/11/2025 Duración: 07minViongozi wa dunia wamesifu mkutano wa kwanza wa G20 kufanyika Afrika kama ushindi kwa ushirikiano wa kimataifa, hata walipokuwa wakizungumzia changamoto za mabadiliko ya tabianchi, ukosefu wa usawa na vita, dhidi ya muktadha wa ushindani unaobadilika wa kidiplomasia. Kutokuwepo kwa Rais Donald Trump kumewafanya watu kujiuliza maswali kuhusu nafasi ya Marekani katika mpangilio wa dunia unaobadilika.
-
Taarifa ya habari:kimbunga fina, mvua, mafuriko na upepo mkali waendelea kuwaathiri wakaazi wa Queensland
25/11/2025 Duración: 11minJisajili au fuata makala yaliyo rekodiwa ya Australia ya fafanuliwa, kwa habari muhimu zaidi na vidokezo kuhusu kuanza maisha yako mapya nchini Australia. Una swali lolote au wazo la mada? Tutumie barua pepe kwa: australiaexplained@sbs.com.au
-
Yaliyojiri Afrika:Serikali ya Tanzania yatoa onyo kwa vituo vya habari vya kimataifa
25/11/2025 Duración: 08minJiunge na Jason Nyakundi anapotujuza yanayoendelea Afrika.
-
Mkutano wa COP30 umekamilika na makubaliano yamefikiwa
25/11/2025 Duración: 07minWajumbe wa mkutano wa COP30 nchini Brazili wamefikia makubaliano ya kushughulikia ongezeko la uzalishaji wa gesi duniani. Makubaliano hayo yanaongeza fedha kwa nchi zinazoathiriwa na mabadiliko ya hali ya hewa, lakini hayana mpango maalum kuhusu mafuta ya kisukuku.
-
Australia yafafanuliwa:Tamasha ya muziki na utamaduni wa Afrika
25/11/2025 Duración: 06minWikendi iliyopita, jiji la Melbourne liliendelea kungara kwa rangi, muziki na Ladha za barani Afrika wakati wa tamasha la utamaduni wa afrika lililowajumuisha watu kutoka mataifa mbali mbali. Tamasha hilo lililoandaliwa Federation square, liliwaleta Pamoja maelfu ya wakaazi wa Melbourne na wageni kutoka majimbo tofauti, wote wakikusanyika kusherehekea urithi na utambulisho wa Kiafrika.
-
Australia yafafanuliwa: wanafunzi wa kimataifa waonywa dhidi ya utapeli
25/11/2025 Duración: 04minOnyo la dharura limetolewa kwa wanafunzi wa kimataifa wanaoondoka Australia wasiuze akaunti zao za benki na vitambulisho kwa wahalifu. Polisi ya Shirikisho ya Australia inasema kwamba wanafunzi wanapewa 'pesa ya haraka' - lakini kukubali ofa kama hiyo kunaweza kuwahusisha milele na mitandao ya uhalifu.
-
Australia yafafanuliwa:Afya ya akili katika ujauzito na baada ya kujifungua
24/11/2025 Duración: 09minKaribu mmoja kati ya Waustralia wanne hawatafuti msaada wanapopata matatizo ya afya ya akili wakati wa ujauzito au baada ya kujifungua. Wataalamu wanasema kwamba taarifa zilizotolewa na Gidget Foundation zinaonyesha ukosefu wa kuelewa dalili na ishara, pamoja na unyanyapaa unaoendelea kuhusu suala hili.
-
Taarifa ya habari tarehe 21 Novemba
21/11/2025 Duración: 11minElekea kwenye tovuti yetu katika sbs.com.au/swahili kwa habari na taarifa zaidi.
-
Taarifa ya habari tarehe 18 Novemba
21/11/2025 Duración: 10minElekea kwenye tovuti yetu katika sbs.com.au/swahili kwa habari na taarifa zaidi.
-
Taarifa ya habari tarehe 14 Novemba
21/11/2025 Duración: 10minElekea kwenye tovuti yetu katika sbs.com.au/swahili kwa habari na taarifa zaidi.
-
Taarifa ya habari tarehe 11 Novemba
21/11/2025 Duración: 12minElekea kwenye tovuti yetu katika sbs.com.au/swahili kwa habari na taarifa zaidi.
-
-
-
-
-
-
Tahadhari kwa wanaohitimu shule
21/11/2025 Duración: 04minKadri maelfu ya vijana wanaposherehekea kumaliza Mwaka wa 12, wanakumbushwa juu ya hatari zinazokuja na unywaji pombe, hasa nje ya nchi. Wazazi na marafiki wa waathiriwa wa sumu ya methanol, Bianca Jones na Holly Bowles, wamejiunga na juhudi mpya za usalama, wakiwatia moyo wasafiri vijana kuchukua maamuzi salama zaidi.