Sinopsis
Listen to interviews, features and community stories from the SBS Radio Swahili program, including news from Australia and around the world. - Sikiza mahojiano, makala na hadithi za jumuiya kutoka Idhaa ya Kiswahili ya SBS Radio, ikijumuisha taarifa za habari kutoka Australia na ulimwenguni.
Episodios
-
Umuhimu wa kuelewa tofauti zakitamaduni miogoni mwa wa Australia wa kwanza
15/03/2024 Duración: 12minUtofauti tajiri ndani ya umma wa waAustralia wa kwanza ni kipengele cha kuvutia, kupinga dhana potofu ya kawaida kuwa watu wote ambao niwa Aboriginal na wanavisiwa wa Torres Strait wote wako sawa.
-
Taarifa ya Habari 14 Machi 2024
14/03/2024 Duración: 05minPolisi wame pata mwii wa mwanaume aliye fariki ndani ya mgodi ulio bomoka Ballarat, katika kanda ya Victoria.
-
Rahab"Serikali imesikia nakuchukulia hatua kilio chetu kuhusu utapeli"
12/03/2024 Duración: 10minViongozi wa makampuni na biashara kutoka Kenya wame tua mjini Melbourne kushiriki katika kongamano la biashara.
-
Taarifa ya Habari 12 Machi 2024
12/03/2024 Duración: 20minSerikali imesema imetupilia mbali kutumia ushuru kuwekeza mfumo wa malezi ya wazee, baada yakutolewa kwa ripoti ya nguvu kazi katika sekta hiyo.
-
Ramadan na Eid ni nini na husherehekewaje Australia
12/03/2024 Duración: 11minAustralia ni nchi yenye tamaduni nyingi na ina idadi kubwa yawa Islamu wengi.
-
Taarifa ya Habari 11 Machi 2024
11/03/2024 Duración: 04minPolisi wamesema juhudi zakumtafuta mvulana wa miaka 12 katika eneo la magharibi Sydney, zimefika katika hatua muhimu wasiwasi kuhusu ustawi wake ukiendelea kuongezeka.
-
Kotnyin afunguka kuhusu siku ya kimataifa ya wanawake
08/03/2024 Duración: 08minSerikali ya shirikisho imetoa ripoti yake ya pili ya mwaka kwa hali ya wanawake.
-
Taarifa ya Habari 8 Machi 2024
08/03/2024 Duración: 18minSerikali ya shirikisho imetoa ripoti yake ya pili ya mwaka kwa hali ya Wanawake, ripoti hiyo inaonesha pengo la malipo ya jinsia iko katika kiwango cha chini kwa asilimia 12 ila tofauti zingine kubwa zimesalia.
-
Kukabiliana na habari potofu: jinsi yakutambua na kukabiliana na habari za uongo
08/03/2024 Duración: 13minKatika zama ambapo habari husafiri kwa kasi ya mwanga, kutofautisha ukweli kwa uongo imekuwa changamoto kubwa.
-
Wanyika afunguka kuhusu maandalizi ya tamasha ya Angélique Kidjo katika Sydney Opera House
06/03/2024 Duración: 10minGwiji wa Muziki kutoka Benin Bi Angélique Kidjo ana tarajiwa kuwa na tamasha kubwa ndani ya Sydney Opera House usiku wa Jumatano 6 Machi 2024.
-
Taarifa ya Habari 5 Machi 2024
05/03/2024 Duración: 17minAnthony Albanese anatarajiwa kuweka wazi sera mpya zakupiga jeki ushiriki wa biashara za Australia, katika ukanda wa Kusini mashariki Asia, kongamano la ASEAN linapo anza leo mjini Jumanne Machi 5 mjini Melbourne.
-
Wito watolewa katika wiki yakitaifa ya uelewa zaidi wa ugonjwa wa vifaa vyakusafirisha damu ndani ya moyo
05/03/2024 Duración: 09minWiki ya tarehe 26 Feb hadi 3 Machi, ni wiki yakutoa uelewa wa ugonjwa wa moyo na kifaa kinacho tumiwa kusafirisha hewa au damu moyoni.
-
Taarifa ya Habari 4 Machi 2024
04/03/2024 Duración: 07minWaziri mkuu Anthony Albanese amesema uchaguzi mdogo wa Dunkley umethibitisha kuwa wa Australia hawa vutiwi na kampeni hasi.
-
Taarifa ya Habari 1 Machi 2024
01/03/2024 Duración: 18minShirika la ujasusi la Australia limetetea uamuzi wayo wakuto weka wazi jina la mwanasiasa wa zamani ambaye ame husishwa na kundi la ujasusi lakigeni.
-
Tanzania yaomboleza kifo cha Hayati Mwinyi
01/03/2024 Duración: 07minViongozi mbali mbali nchini Tanzania, wana endelea kutoma salamu za kwa jamaa na familia ya Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi, aliyefariki dunia Alhamisi wiki hii.
-
Taarifa ya Habari 27 Februari 2024
27/02/2024 Duración: 19minAsilimia 90 au zaidi ya waajiri katika sekta za madini, umeme, maji, huduma za taka, fedha na bima, wana pengo la malipo linalo wapendelea wanaume.
-
Shakilah" lengo letu si kutenganisha familia, ila nikufanya ziwe imara"
27/02/2024 Duración: 24minShirika la Rotary Safe Families hutoa taarifa zaku saidia kuzuia unyanyasaji kupitia miongozo iliyo tafsiriwa pamoja na filamu.
-
Taarifa ya Habari 26 Februari 2024
26/02/2024 Duración: 06minVikwazo vyakifedha vya mtindo wa Magnitsky pamoja na marufuku yakusafiri, yametolewa dhidi ya maafisa saba wa gereza ambao serikali ya Australia ina amini, walishiriki katika unyanyasaji wa
-
Sergent "Kiptum's death is painful and still haunts us"
23/02/2024 Duración: 18minThe family of the late marathon world record holder Kelvin Kiptum and members of the Kenyan community have gathered in his rural village to give him his final send off.
-
Prof Chacha "Tunastahili ongeza juhudi kukutanisha Rwanda na DRC ili tupate suluhu ya amani"
23/02/2024 Duración: 06minMaelfu ya raia wanao ishi katika mji wa Goma mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo, wanahangaika kutokana na upungufu mkubwa wa chakula ndani ya maduka na masoko ya eneo hilo.