Sinopsis
Listen to interviews, features and community stories from the SBS Radio Swahili program, including news from Australia and around the world. - Sikiza mahojiano, makala na hadithi za jumuiya kutoka Idhaa ya Kiswahili ya SBS Radio, ikijumuisha taarifa za habari kutoka Australia na ulimwenguni.
Episodios
-
Wahamiaji wanahitaji taarifa gani kabla waje Australia?
05/10/2023 Duración: 11minKila mwezi makumi yama elfu ya wahamiaji huwasili katika miji mbali mbali nchini Australia.
-
Taarifa ya Habari 3 Oktoba 2023
03/10/2023 Duración: 18minBenki kuu ya Australia imeacha kiwango cha hela taslim kwa 4.1% kwa mwezi wa nne mfululizo.
-
Hatua zaku uza gari yako nchini Australia
03/10/2023 Duración: 10minInapofika wakati waku aga gari yako ya zamani, kuna mengi yakufanya zaidi yaku iosha, kutoa kitabu cha ukarabati pamoja nakupokea malipo.
-
Taarifa ya Habari 1 Oktoba 2023
01/10/2023 Duración: 18minSeneta wa chama cha Greens Jordan Steele-John amesema panastahili kuwa waziri washirikisho wa ulemavu, anaye stahili ongoza utekelezwaji wa mapendekezo kutoka tume yakifalme kwa ulemavu.
-
Hatimae Martin Fayulu atangaza atawania Urais DRC
01/10/2023 Duración: 08minKiongozi wa upinzani nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Martin Fayulu, Jumamosi alithibitisha kugombea urais kwenye uchaguzi wa tarehe 20 Disemba 2023.
-
Taarifa ya Habari 26 Septemba 2023
26/09/2023 Duración: 15minDaniel Andrews ametangaza uamuzi wake wakujiuzulu kama kiongozi wa Victoria.
-
Jinsi yakujiandaa kufanya mtihani wa uraia wa Australia
26/09/2023 Duración: 12minKuwa raia wa Australia ni uzoefu wa kusisimua na wenye zawadi kwa wahamiaji wengi.
-
Wambui azindua kampuni ya mavazi ya Ga-Kenia
06/09/2023 Duración: 06minTamasha ya Africultures hutoa fursa nyingi kwa wajasiriamali kukutana na kupata wateja wapya.
-
Taarifa ya Habari 5 Septemba 2023
05/09/2023 Duración: 18minSerikali imesema haita piga hatua nyuma kwa pendekezo la sauti yawa Australia wa kwanza bungeni, licha ya matokeo mapya ya kura ya maoni ambayo yanaonesha hali si nzuri kwa kura ya maoni ijayo.
-
Wimbo maarufu wa John Farnham watumiwa katika kampeni ya kura ya Ndio
05/09/2023 Duración: 07minKiongozi wa upinzani wa shirikisho Peter Dutton amesema atafanya kura nyingine ya maoni, kama kura yakuweka sauti yawa Australia wa kwanza bungeni ndani ya katiba inafeli.
-
Taarifa ya Habari 4 Septemba 2023
04/09/2023 Duración: 07minWaziri wa mazingira Tanya Plibersek amekosoa msimamo wa kiongozi wa upinzani Peter Dutton kwa Sauti yawa Australia wa kwanza bungeni.
-
Taarifa ya Habari 3 Septemba 2023
03/09/2023 Duración: 16minKiongozi wa upinzani Peter Dutton amesema uamuzi wa serikali ya Labor kukataa ombi la shirika la ndege la Qatar, kuongeza huduma zaidi nchini Australia kuta wadhuru wa Australia.
-
Delphine "Jamii imepokea kazi zetu vizuri ila, tunahitaji waje tushirikiane nao zaidi"
03/09/2023 Duración: 07minJumuiya zawa Afrika wanao ishi mjini Sydney, walijumuika katika viwanja kwa Sydney Olympic Park kwa tamasha ya Africultures 2 Septemba 2023.
-
Brian "Kita eleweka 16 Septemba ndani ya Melbourne Pavilion"
31/08/2023 Duración: 17minBrian 'Swagga Boy' Agina ni bondia mwenye asili ya Kenya anaye ishi jimboni Victoria, Australia.
-
Kuku ashawishi ushindi katika tamasha ya Tamaduni Day
31/08/2023 Duración: 09minWanachama wa jumuiya yawa Kenya wanao ishi jimboni Victoria, hivi karibuni walishiriki katika tamasha ya tamaduni zao.
-
Taarifa ya Habari 29 Agosti 2023
29/08/2023 Duración: 17minWaziri Mkuu Anthony Albanese, ajiaandaa kutangaza tarehe ya kura ya moani kwa Sauti yawa Australia wa Kwanza bungeni.
-
Jinsi yaku saidia wanyamapori walio jeruhiwa nchini Australia
29/08/2023 Duración: 12minAustralia ni nyumbani kwa baadhi ya wanyamapori wa aina mbalimbali na wanaovutia duniani, matokeo ya kutengwa kwa Australia kama bara na historia yakipekee ya mageuzi ambayo yametokea kwa ma milioni ya miaka.
-
Marekani yaweka vikwazo dhidi ya wanajeshi na wanamgambo wa DRC na Rwanda
27/08/2023 Duración: 07minWanajeshi na wanamgambo 6 kutoka DR Congo na Rwanda wame wekewa vikwazo na Marekani kwa madai yaku chochea mizozo katika mashariki mwa Congo.
-
Historia ya tengezwa katika fainali ya kombe la dunia mjini Sydney
23/08/2023 Duración: 09minWapenzi wa mchezo wa mpira wa miguu kote duniani, walijumuika mbele ya runinga zao kutazama fainali ya Kombe la Dunia la FIFA kutoka mjini Sydney, Australia.
-
Taarifa ya Habari 22 Oktoba 2023
22/08/2023 Duración: 16minWaziri Mkuu Anthony Albanese amesema kampeni ya La kwa sauti yawa Australia wa kwanza bungeni, inajaribu kupotosha watu dhidi yakuwatambua wa Australia wa kwanza nakuanzisha tume ya ushauri katika katiba.