Sinopsis
Listen to interviews, features and community stories from the SBS Radio Swahili program, including news from Australia and around the world. - Sikiza mahojiano, makala na hadithi za jumuiya kutoka Idhaa ya Kiswahili ya SBS Radio, ikijumuisha taarifa za habari kutoka Australia na ulimwenguni.
Episodios
-
Taarifa ya Habari 28 Julai 2023
30/07/2023 Duración: 06minSerikali ya shirikisho imetangaza ita wasilisha tena muswada wayo mhimu wa nyumba, vikao vya bunge vitakapo anza tena kutoka likizo yake ya majira ya baridi wiki ijayo jumatatu 31 Julai.
-
Mkataba wa DP World na serikali ya Tanzania wazua upinzani mkali
27/07/2023 Duración: 11minBunge la Tanzania limeridhia mkataba wa uendeshaji wa bandari nchini humo kati ya Serikali ya Tanzania na ya Dubai.
-
Taarifa ya Habari 25 Julai 2023
25/07/2023 Duración: 17minWaziri Mkuu Anthony Albanese, amesema Australia inahitaji jiandaa kwa msimu wa moto wa vichaka ujao, wakati mioto ya vichaka inaendelea kuchoma maeneo ya Kaskazini ya dunia.
-
Gov Khalif "asilimia 60 ya Mandera iko chini ya udhibiti wa Al Shabaab"
25/07/2023 Duración: 07minGavana wa Kaunti ya Mandera Mohamed Adan Khalif, amesema asilimia 60 ya kaunti yake iko chini ya udhibiti wa Al Shabaab.
-
Taarifa ya Habari 23 Julai 2023
23/07/2023 Duración: 16minMfumo wa sera ya nyumba jimboni Victoria, wapokewa kwa hisia mseto na baadhi ya wadau jimboni humo.
-
Taarifa ya Habari 22 Julai 2023
23/07/2023 Duración: 05minMweka hazina wa taifa Jim Chalmers ametetea mfumo mpya wa ustawi wakitaifa wa serikali, katika jibu kwa ukosoaji kuwa baadhi ya data inayo tumiwa imepitwa na wakati.
-
Germain "nataka leta aina mpya ya siasa DRC"
20/07/2023 Duración: 16minKampeni za uchaguzi mkuu zime anza katika Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo.
-
Taarifa ya Habari 18 Julai 2023
18/07/2023 Duración: 17minSerikali ya shirikisho leo imetangaza kuanzishwa kwa vituo vyakusomea vya vyuo vikuu, katika vitongoji vya nje ya miji mikubwa. Vituo vipya thelathini na nne, vita anzishwa katika maeneo ambayo hayana vyuo na, ambako asilimia ya umma yenye elimu ya juu ziko chini.
-
Kura ya maoni ya Voice ina husu nini?
18/07/2023 Duración: 15minBaadae mwaka huu, wa Australia watashiriki katika kura ya maoni ambako wata ulizwa kupiga kura ya NDIO au LA kwa swali lifuatalo: Una unga mkono mageuzi kwa katiba kuwatambua wa Australia wa kwanza kwa kuanzisha Sauti yawa Aboriginal na wanavisiwa wa Torres Strait?
-
Taarifa ya Habari 17 Julai 2023
17/07/2023 Duración: 06minWatendaji wa kampuni ya ushauri ya Deloitte wafika mbele ya kikao cha Seneti baada ya kuvuja kwa sakala la ushuru la kampuni ya PwC.
-
Rais Ruto "Sitaruhusu maandamano Kenya"
17/07/2023 Duración: 07minRais wa Kenya Dkt William Ruto ameapa kutoruhusu kufanyika kwa maandamano ya upinzani ambayo yamepangwa kufanyika wiki ijayo.
-
Taarifa ya Habari 16 Julai 2023
16/07/2023 Duración: 19minMweka hazina wa taifa Jim Chalmers ame ondoka nchini usiku wa leo aki elekea nchini India, ambako atawakilisha Australia katika mikutano ya G-20 mawaziri wa fedha na magavana wa benki kuu mjini Gandhinagar.
-
Dr Joel Kimeto afunguka kuhusu safari yake katika sanaa
16/07/2023 Duración: 38minDr Joel Kimeto ni msanii maarufu wa nyimbo za injili ndani na nje ya Kenya.
-
Taarifa ya Habari 15 Julai 2023
16/07/2023 Duración: 06minUpigaji kura umeanza katika eneo bunge la Fadden ambalo liko Gold Coast, wagombea wakifanya kampeni za dakika za lala salama kwa umma.
-
Taarifa ya Habari 14 Julai 2023
14/07/2023 Duración: 05minMichele Bullock atakuwa Gavana mpya wa Benki Kuu ya Australia.
-
Jamii ya wakenya waomboleza kifo cha ghafla cha Lydia Cheptoo
13/07/2023 Duración: 09minKifo cha ghafla cha Lydia Cheptoo kimezua majonzi na simanzi, katika jumuiya ya wakenya nchini Australia.
-
Ni makaazi gani yanapatikana kwa wanafunzi
12/07/2023 Duración: 11minAustralia ni moja ya sehemu zinazo vutia kusomea ng'ambo.
-
Taarifa ya Habari 11 Julai 2023
11/07/2023 Duración: 19minAustralia na Ujerumani zatia saini ya biashara huru naku ahidi misaada ya ziada kwa Ukraine.
-
Balozi Ali Karume afutwa uanachama CCM
10/07/2023 Duración: 07minChama tawala cha CCM Zanzibar, kimemfuta uanachama kada wake, Balozi Ali Karume na kumtaka arejeshe kadi ya chama hicho.
-
Taarifa ya Habari 9 Julai 2023
09/07/2023 Duración: 19minWaziri wa Elimu wa shirikisho Jason Clare amesema itabidi waziri mkuu wa zamani Scott Morrison, aishi na madhara ya mfumo wa robodebt katika dhamira yake.