Sinopsis
Listen to interviews, features and community stories from the SBS Radio Swahili program, including news from Australia and around the world. - Sikiza mahojiano, makala na hadithi za jumuiya kutoka Idhaa ya Kiswahili ya SBS Radio, ikijumuisha taarifa za habari kutoka Australia na ulimwenguni.
Episodios
-
Isaac "Viongozi wengi wa Afrika wanachaguliwa na mataifa ya Magharibi"
06/07/2023 Duración: 11minWanachama wa Jumuiya ya DR Congo wanao ishi mjini Sydney, walijumuika katika hafla maalum yaku adhimisha miaka 63 ya uhuru wa nchi yao pendwa.
-
Unastahili zingatia nini unapo panga kuhamia katika jimbo lingine?
05/07/2023 Duración: 09minKila mwaka, ma mia ya maelfu yawa Australia huhama kutoka majimbo wanako ishi kwa sababu za kazi, elimu, maisha, familia au msaada bora wa jamii.
-
Taarifa ya Habari 4 Julai 2023
04/07/2023 Duración: 17minWaziri wa Fedha akaribisha uamuzi wa benki ya hifadhi wakuto ongeza kiwango cha riba.
-
Mahakama yasema mipango ya serikali ya Uingereza kwa waomba hifadhi ni kinyume cha sheria
04/07/2023 Duración: 04minMpango wa serikali ya Uingereza waku wapeleka waomba hifadhi Rwanda, ume patwa kuwa ni kinyume ya sheria na mahakama moja mjini London.
-
Kikosi cha ATMIS cha anza kuondoka Somalia
03/07/2023 Duración: 08minViongozi wa jeshi la Umoja wa Afrika nchini Somalia, wamesema wamekamilisha awamu ya kwanza ya kupunguza idadi ya vikosi vyao nchini humo.
-
Taarifa ya Habari 2 Julai 2023
02/07/2023 Duración: 14minWaziri Mkuu Anthony Albanese asema, ziada ya bajeti kuweka Australia katika nafasi imara kiuchumi.
-
Kuadhimisha wiki ya NAIDOC
02/07/2023 Duración: 08minWiki ya sherehe na kutambua historia na mafanikio yawa Aboriginal, inayo julikana kwa jina la NAIDOC ime anza leo Julai 2.
-
Taarifa ya Habari 27 Juni 2023
27/06/2023 Duración: 17minWaziri Mkuu Anthony Albanese atetea hatua za serikali yake kukabili mgogoro wa utoaji wa nyumba.
-
Ongezeko ya gharama ya maisha yawaacha wafanyakazi wa mshahara wa chini bila uwezo wakumudu vitu vya msingi
27/06/2023 Duración: 08minUtafiti mpya ume pata kuwa mfanyakazi nchini Australia wa wakati wote, anaye lipwa mshahara wa chini, huwa ana salia tu na $57 baada ya gharama mhimu za kila wiki.
-
Taarifa ya Habari 25 Juni 2023
25/06/2023 Duración: 18minWaziri wa wa fedha Julie Collins ametetea uwekezaji wa serikali wenye thamani ya bilioni 10 kupitia mradi wa Housing Australia Future Fund, wakati vyama vya Greens na Mseto viki endelea kuzuia muswada huo kupita bungeni.
-
Jinsi yakuomba nyongeza ya mshahara nchini Australia
25/06/2023 Duración: 11minKuomba uongezewe mshamahara kunaweza kuwa vigumu kwa wafanyakazi wengi ila si lazima iwe hivyo.
-
Abang "nilimuona mama baada ya miaka 22 yakutengana naye"
22/06/2023 Duración: 20minWiki ya wakimbizi huadhimishwa nchini Australia kati ya 18 Juni hadi 24 Juni kila mwaka.
-
Unafanyaje mipangilio ya uzazi baada yakuachana na mchumba wako?
19/06/2023 Duración: 12minChini ya sheria ya Familia, haki za ustawi wa watoto huongoza mazungumzo yote ya uzazi, baada ya wanandoa kutengana au kupata talaka.
-
Wanamgambo wauwa wanafunzi 41 Uganda
19/06/2023 Duración: 07minWanamgambo wa kundi la ADF wenye uhusiano na kundi la Islamic State waliua wanafunzi 41 na kuteka nyara wengine sita katika shambulio kwenye shule kaskazini mwa Uganda karibu na mpaka na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, jeshi lilisema Jumamosi.
-
Taarifa ya Habari 18 Juni 2023
18/06/2023 Duración: 15minKiongozi wa chama cha Nationals ndani ya Seneti Bridget McKenzie, ame elezea hatua ambazo zimechukuliwa dhidi ya Seneta David Van baada ya madai ya matendo yasiyo faa kuwa yalikuwa ni uamuzi thabiti.
-
Lidia Thorpe asema alinyanyaswa na Seneta David Van ambaye amekana madai hayo
18/06/2023 Duración: 07minShutma za unyanyasaji wakijinsia za Seneta Lidia Thorpe za 2021, dhidi ya Seneta mwenza David Van, zime zua dhoruba Bungeni.
-
Taarifa ya Habari 13 Juni 2023
13/06/2023 Duración: 17minWaziri Mkuu Anthony Albanese amesema Australia inastahili chukua fursa yakuwa kiongozi wa nishati mbadala.
-
Kuelewa sekta za shule za Australia
13/06/2023 Duración: 11minWa Australia wana bahati yakuwa na sekta mbali mbali za shule na, uwezo wa kuchagua sekta ipi inawafaa watoto wao pamoja namazingira.
-
Taarifa ya Habari 11 Juni 2023
11/06/2023 Duración: 18minWaziri wa huduma ya wazee Anika Wells amesema kufanya mageuzi katika mfumo wa huduma ya wazee ni binafsi kwake, Bi Wells amesema aliona matatizo tena, alipo fanya ziara ndani ya vifaa vya huduma baada yakuwa waziri wa huduma ya wazee.
-
Ziara ya kombe la dunia ya anza nchini Australia kabla ya michuano hiyo kuanza
11/06/2023 Duración: 07minTiketi milioni moja za kombe la dunia, la soka ya wanawake itakayo andaliwa nchini Australia na New Zealand zime uzwa tayari.