Sinopsis
Listen to interviews, features and community stories from the SBS Radio Swahili program, including news from Australia and around the world. - Sikiza mahojiano, makala na hadithi za jumuiya kutoka Idhaa ya Kiswahili ya SBS Radio, ikijumuisha taarifa za habari kutoka Australia na ulimwenguni.
Episodios
-
Taarifa ya Habari 1 Novemba 2024
01/11/2024 Duración: 17minSerikali imethibitisha kuwa inashikilia mafao ya Medicare ambayo hayaja daiwa yenye thamani yama milioni ya dola, kwa sababu wagonjwa hawajatoa taarifa zao za benki ili wapokee hela hizo.
-
Jinsi yakujenga nyumba yako nchini Australia
01/11/2024 Duración: 10minKujenga nyumba Australia ni ndoto ya wengi ila, hatua muhimu zakufanikisha hili ni gani?
-
Taarifa ya Habari 29 Oktoba 2024
29/10/2024 Duración: 19minFaini kwa watoa huduma wa NDIS wasio waaaminifu zita ongezeka kutoka $400,000 hadi zaidi ya $15 milioni, chini ya kanuni mpya zilizo zinduliwa na Bill Shorten jana Jumatatu 28 Oktoba 2024.
-
Ben & Chance "tangu tuanze kufanya kazi ya Mungu pamoja maisha yamezidi kuwa mazuri"
25/10/2024 Duración: 06minUmaarufu wa wasanii wa injili Ben & Chance, una endelea kuongezeka kila uchao nchini Rwanda na kimataifa.
-
Prof Chacha"nchi za Afrika zinastahili tambua jumuiya yaki mataifa hai ongelei tena maswala yao"
25/10/2024 Duración: 07minNchi kadhaa barani Afrika zina endelea kukabiliana na vita vya wenyewe kwa wenyewe.
-
Taarifa ya Habari 25 Oktoba 2024
25/10/2024 Duración: 20minViongozi wa kanda ya Pasifiki wame ikosoa Australia katika mkutano wa viongozi wa jumuiya zama dola nchini Samoa, kwa kufeli kuchukua hatua ya ziada kwa mabadiliko ya hali ya hewa.
-
Michael" viongozi wetu wanaweza fanya kazi kwa kasi wakitaka"
23/10/2024 Duración: 17minSiasa ya Kenya imetikiswa kwa kura ya kihistoria ndani ya Seneti iliyo sababisha Naibu Rais Rigathi Gachagua kubanduliwa mamlakani.
-
Athari za Utalii wa Mataifa ya Kwanza
23/10/2024 Duración: 13minJe, unatafuta uzoefu wakusafiri nchini Australia wenye maana?
-
Taarifa ya Habari 22 Oktoba 2024
22/10/2024 Duración: 19minMfalme Charles na Malkia Camilla waanza sehemu ya mwisho, ya ziara yao mjini Sydney, katika sehemu ya ziara yakifalme.
-
Steve "Na amini naweza kuwa kiongozi bora"
22/10/2024 Duración: 12minWanafunzi wa chuo cha ECU mjini Perth wana ingia debeni kuwachagua viongozi wao wapya.
-
Taarifa ya Habari 18 Oktoba 2024
18/10/2024 Duración: 19minSerikali ya Shirikisho ya tetea takwimu zake za utoaji wa ajira milioni moja, wakati upinzani una sisitiza kuwa asilimia kubwa ya ajira hizo zime fadhiliwa na serikali ya shirikisho.
-
Mhe Dkt Kogo "Kwa unyenyekevu hakuna haja yawa Kenya kupewa mitihani ya Kiingereza"
18/10/2024 Duración: 12minWanafunzi na wahamiaji wengi kutoka Afrika Mashariki haswa Kenya, wame kuwa waki kabiliwa kwa changamoto yaku thibitisha uwezo wao wakuzungumza Kiingereza nchini Australia kabla yaku endeleza masomo yao.
-
Taarifa ya Habari 15 Oktoba 2024
15/10/2024 Duración: 23minMawaziri wa afya wa Australia wame idhinisha mchakato wa haraka, kwa madaktari waliofunzwa ng'ambo kuanza kufanya kazi kote nchini.
-
Mercy"Tunatazamia kupokea huduma bora kutoka kwa balozi wetu"
15/10/2024 Duración: 08minViongozi wa shirika la Kenyans in Sydney Welfare Association kwa ushirikiano na mashirika mengine yawakenya wanao ishi mjini Sydney wali andaa kongamano la wanafunzi.
-
Taarifa ya Habari 11 Oktoba 2024
11/10/2024 Duración: 18minWa Australia wanaweza lipishwa zaidi watakapo enda tena kuweka petroli ndani ya gari zao ila, mweka hazina wa taifa ame wahamasisha wauzaji wa reja reja wasi wadhulumu wateja.
-
Prof Chacha "mtu ambaye amekuwa katika hali ya uchochore hawezi mkashifu anaye msaidia"
11/10/2024 Duración: 07minNchi kadhaa barani Afrika zina endelea kuongeza ushirikiano na China, ambayo kwa upande wayo ina toa zawadi mbali mbali kwa nchi hizo.
-
Taarifa ya Habari 8 Oktoba 2024
08/10/2024 Duración: 19minWa Australia wanao rejea nchini kutoka Lebanon katika ndege za kwanza zilizo kodishwa na serikali ya shirikisho wame wasili mjini Sydney.
-
Matt "wakenya hawataki Gachagua aondolewe mamlakani"
08/10/2024 Duración: 05minWikendi iliyopita wakenya wanao ishi Sydney, New South Wales walijumuika katika kitongoji cha Chester Hill kwa mkutano maalum.
-
Lydia "ukiwa Africultures nikama umetembea Afrika nzima"
08/10/2024 Duración: 09minMaelfu ya wa Australia wenye asili ya Afrika, kwa mwaka mwingine wali jumuika katika viwanja vya Sydney Olympic Park kuhudhuria tamasha ya Africultures.
-
Taarifa ya Habari 4 Oktoba 2024
04/10/2024 Duración: 17minIdara ya Afya ya New South Wales ina wahamasisha watu wanao stahiki wapate dozi zao mbili za chanjo za mpox sasa hivi, wasiwasi unapo endelea kuwa kuhusu ongezeko ya kesi na wanao lazwa hospitalini jimboni humo.