Sbs Swahili - Sbs Swahili

  • Autor: Vários
  • Narrador: Vários
  • Editor: Podcast
  • Duración: 107:51:01
  • Mas informaciones

Informações:

Sinopsis

Listen to interviews, features and community stories from the SBS Radio Swahili program, including news from Australia and around the world. - Sikiza mahojiano, makala na hadithi za jumuiya kutoka Idhaa ya Kiswahili ya SBS Radio, ikijumuisha taarifa za habari kutoka Australia na ulimwenguni.

Episodios

  • Taarifa ya Habari 8 Oktoba 2024

    08/10/2024 Duración: 19min

    Wa Australia wanao rejea nchini kutoka Lebanon katika ndege za kwanza zilizo kodishwa na serikali ya shirikisho wame wasili mjini Sydney.

  • Matt "wakenya hawataki Gachagua aondolewe mamlakani"

    08/10/2024 Duración: 05min

    Wikendi iliyopita wakenya wanao ishi Sydney, New South Wales walijumuika katika kitongoji cha Chester Hill kwa mkutano maalum.

  • Lydia "ukiwa Africultures nikama umetembea Afrika nzima"

    08/10/2024 Duración: 09min

    Maelfu ya wa Australia wenye asili ya Afrika, kwa mwaka mwingine wali jumuika katika viwanja vya Sydney Olympic Park kuhudhuria tamasha ya Africultures.

  • Taarifa ya Habari 4 Oktoba 2024

    04/10/2024 Duración: 17min

    Idara ya Afya ya New South Wales ina wahamasisha watu wanao stahiki wapate dozi zao mbili za chanjo za mpox sasa hivi, wasiwasi unapo endelea kuwa kuhusu ongezeko ya kesi na wanao lazwa hospitalini jimboni humo.

  • Jinsi yakupata mkopo wa kununua nyumba Australia

    04/10/2024 Duración: 12min

    Kununua nyumba kawaida ni moja ya ununuzi mkubwa katika maisha ya mtu.

  • Taarifa ya habari 1 Oktoba 2024

    01/10/2024 Duración: 19min

    Waangalizi wa watumiaji wa Australia wanatarajiwa kupokea jeki ya dola milioni 30, kuchukua hatua kwa matendo ya kuongeza bei kutoka kwa maduka makubwa na wauzaji reja reja.

  • Francis "Openmaps Global Study imeziba pengo katika utoaji wa elimu ya juu Australia"

    01/10/2024 Duración: 09min

    Sekta ya elimu ya juu nchini Australia, ina thamani yama bilioni ya dola.

  • Taarifa ya Habari 20 Septemba 2024

    20/09/2024 Duración: 16min

    Mswada wa serikali ya shirikisho waku ongeza malipo ya uzeeni katika likizo ya wazazi yenye malipo ime idhinishwa na bunge.

  • Prof Chacha "kuendelea kuahirisha uchaguzi hakuta leta amani au mafanikio Sudan Kusini"

    20/09/2024 Duración: 07min

    Kwa mara nyingine uchaguzi mkuu wa Sudan Kusini ume ahirishwa hadi Disemba 2026.

  • Francis "wakati wakubadilisha shule ni sasa"

    18/09/2024 Duración: 10min

    Idadi ya wanafunzi wakimataifa itapunguzwa mwaka ujao, serikali inapojaribu kupunguza uhamiaji wa ng’ambo.

  • Taarifa ya Habari 17 Septemba 2024

    17/09/2024 Duración: 18min

    Mwanaume anaye shukiwa kuhusika katika jaribio laku muuwa Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump, amefunguliwa mashtaka ya uhalifu wakutumia bunduki.

  • Kinyua "karibuni tusherehekee uafrika wetu kupitia soka ACT"

    13/09/2024 Duración: 07min

    Wanachama wa jumuiya yawa Afrika wanao ishi Canberra, ACT wanajiandaa kushiriki katika kombe la Afrika kesho Jumamosi 14 Septemba 2024.

  • Taarifa ya Habari 13 Septemba 2024

    13/09/2024 Duración: 17min

    Mdhibiti wa vyombo vya habari nchini, atapewa mamlaka yakuchukua hatua dhidi ya makampuni ya teknolojia kama Meta na X, kwa usambazaji wa habari potofu na habari feki katika mitandao yao.

  • Upinzani watishia maandamano iwapo wanachama wao hawata achiwa huru Tanzania

    13/09/2024 Duración: 08min

    Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania kimetishia kuanzisha maandamano makubwa zaidi, tangazo linalokuja baada ya kutuhumu mamlaka kwenye taifa la Afrika Mashariki kwa kuwauua na kuwateka wanachama wake.

  • Taarifa ya Habari 10 Septemba 2024

    10/09/2024 Duración: 17min

    Wauguzi na wakunga kote jimboni New South Wales, wanao ondoka kazini leo Jumanne 10 Septemba, kinyume na amri za tume ya mahusiano ya serikali ya viwanda kusitisha mgomo maramoja.

  • Embracing the wisdom of traditional Indigenous medicine - Kukumbatia maarifa ya tiba ya asili

    09/09/2024 Duración: 10min

    Understanding and respecting Indigenous knowledge of medicine may be the key to providing more holistic and culturally sensitive care in today's healthcare setting. - Kuelewa nakuheshimu maarifa ya tiba ya asili, inaweza kuwa muhimu kwa kutoa kutoa huduma kamili na inayo faa kitamaduni katika mazingira yakisasa ya huduma ya afya.

  • #39 Kuwasilisha marejesho yako ya ushuru | Vidokezo vyakudai gharama (Adv)

    09/09/2024 Duración: 17min

    Jifunze jinsi yakuzungumza kuhusu marejesho ya ushuru. Pia jua jinsi punguzo ya ushuru inaweza kusaidia kupunguza bili yako ya ushuru.

  • Waganga wakienyeji walikata viungo vya Jessy na George, sasa madaktari wa Australia wanarejesha afya yao

    05/09/2024 Duración: 11min

    Ushirikina umefanywa kwa mufa mrefu kote nchini Uganda.

  • Sekta ya elimu ya juu yasema wanafunzi wakimataifa wamekuwa 'lishe ya mzinga' katika mjadala wa uhamiaji

    03/09/2024 Duración: 10min

    Idadi ya wanafunzi wakimataifa itawekewa vikomo mwaka ujao, serikali inapojaribu kupunguza uhamiaji wa ng’ambo.

  • Taarifa ya Habari 3 Septemba 2024

    03/09/2024 Duración: 16min

    Data ya hivi karibuni imeonesha kwa sasa ni ghali zaidi kununua nyumba Adelaide au Perth kuliko Melbourne.

página 4 de 26