Sbs Swahili - Sbs Swahili

  • Autor: Vários
  • Narrador: Vários
  • Editor: Podcast
  • Duración: 107:51:01
  • Mas informaciones

Informações:

Sinopsis

Listen to interviews, features and community stories from the SBS Radio Swahili program, including news from Australia and around the world. - Sikiza mahojiano, makala na hadithi za jumuiya kutoka Idhaa ya Kiswahili ya SBS Radio, ikijumuisha taarifa za habari kutoka Australia na ulimwenguni.

Episodios

  • David "Kupoteza wanachama 3 ndani ya siku 10 imekuwa pigo kubwa sana kwetu"

    27/08/2024 Duración: 11min

    Jumuia yawa Kenya wanao ishi Victoria, ina omboleza vifo vya wanachama watatu walio aga dunia ndani ya siku 10.

  • Taarifa ya Habari 27 Agosti 2024

    27/08/2024 Duración: 17min

    Kampuni ya ndege ya Singapore Airlines itakuwa kampuni ya kimataifa ya kwanza kutumia uwanja mpya wa ndege wa Magharibi Sydney. Qantas ime ahidi tayari kutumia uwanja huo wa ndege, unao tarajiwa kufunguliwa mwisho wa 2026.

  • #3 Kuzungumza kuhusu asili zakitamaduni| Jan 26 (Australia Day)

    27/08/2024 Duración: 12min

    Jifunze jinsi yakuzungumza kuhusu historia ya utamaduni wako. Pia jua kwa nini Australia Day inaendelea kuwa siku ya maandamano kwa wa Australia wa kwanza.

  • Taarifa ya Habari 23 Agosti 2024

    23/08/2024 Duración: 16min

    Mamlaka yasiyo ya kawaida yanayo ruhusu jeshi la polisi, kusimamisha ghafla nakufanya msako kwa watu jimboni Queensland yame ongezwa.

  • Mali yaishtumu Ukraine kwa kuhusika katika shambulio nchini humo

    23/08/2024 Duración: 08min

    Mgogoro wakidiplomasia ume zuka kati ya Mali na Ukraine baada ya viongozi wa taifa hilo la Magharibi Afrika, kuishtumu taifa hiyo ya Mashariki ya Ulaya kuhusika katika shambulio nchini humo.

  • Taarifa ya Habari 22 Agosti 2024

    22/08/2024 Duración: 06min

    Wazazi wapya hivi karibuni wataweza anza pokea malipo yao ya uzeeni juu ya malipo ya likizo ya wazazi yanayo wekezwa na serikali, sheria ziki tarajiwa kuwasilishwa ndani ya bunge la shirikisho hii leo Alhamis 22 Agosti.

  • #66 Maswali yaku uliza unapo tazama nyumba unayo taka kodi

    21/08/2024 Duración: 17min

    Jifunze jinsi yaku uliza maswali, unapo tazama nyumba unayo tarajia ku kodi.

  • Aina mpya ya kirusi cha mpox chatambuliwa Pakistan, umakini wa himizwa na hatua ziongezwe

    20/08/2024 Duración: 09min

    Kesi mpya ya kirusi cha mpox imeripotiwa nchini Pakistan, baada ya kesi kama hiyo kuripotiwa nchini Sweden.

  • Taarifa ya Habari 20 Agosti 2024

    20/08/2024 Duración: 19min

    Kiongozi wa chama cha Greens Adam Bandt amesema utafiti mpya ulio agizwa na chama chake una onesha kuwa wa Australia wanao fanya kazi za kawaida hawa wezi mudu kununua nyumba zao wenyewe.

  • Nzovu "Miaka ishirini inapita na kabila la Wanyamurenge bado halijapata haki yao"

    16/08/2024 Duración: 09min

    Usiku wa 13 Agosti 2004 takriban watu 166 wali uawa kikatili, na mamia kujeruhiwa ndani ya kambi ya wakimbizi ya Gatumba, Burundi.

  • Taarifa ya Habari 16 Agosti 2024

    16/08/2024 Duración: 16min

    Kiongozi wa upinzani Peter Dutton ame shtumiwa kwa ubaguzi na kuchochea mgawanyiko na baadhi ya wabunge ambao wame kosoa wito waku wazuia wa Palestina ambao wame kwama Gaza kuingia Australia.

  • Mtoto wako ananyanyaswa shuleni au mtandaoni? Hatua muhimu unastahili chukua

    16/08/2024 Duración: 13min

    Kutoa mazingira salama na jumuishi ni dhamira ya msingi ya kila jumuiya ya shule ya Australia.

  • Kisimba "tuta furahi sana kuona Icon wetu hapa Sydney"

    14/08/2024 Duración: 10min

    Mfalme wa muziki wa DR Congo Koffi Olomide ame anza ziara ya tamasha Australia.

  • Taarifa ya Habari 13 Agosti 2024

    13/08/2024 Duración: 15min

    Viongozi wa Marekani na Uingereza wanaweza jiondoa katika makubaliano ya manowari yaliyofanywa na Australia chini ya mpangilio wa AUKUS, kwa kutoa onyo la mwaka mmoja tu kulingana na hati mpya ya ushirikiano huo.

  • Sababu nzuri zaku tii sheria za watembeaji wa miguu

    13/08/2024 Duración: 13min

    Kila siku, watu wanao tembea kwa miguu kote nchini Australia huvunja sheria bila kujua. Hali hii inaweza sababisha adhabu, na wakati mwingine inaweza sababisha ajali.

  • Taarifa ya Habari 9 Agosti 2024

    09/08/2024 Duración: 19min

    Kiongozi wa upinzani Peter Dutton amesema chama chake kina endelea ku unga mkono makubaliano ya AUKUS, yaliyo tiwa saini chini ya serikali ya Morrison ila, ana hoji kwa nini serikali ya Albanese ina pinga nishati ya nyuklia.

  • Sekta ya vyuo yadai wanafunzi wakimataifa wanatumiwa kama "mpira" wakisiasa

    09/08/2024 Duración: 09min

    Vyuo na biashara vina fanya kampeni ya ushawishi dhidi ya sheria zenye utata, kuweka idadi ya wanafunzi wa kimataifa kuanzia mwaka ujao.

  • Taarifa ya Habari 8 Agosti 2024

    08/08/2024 Duración: 05min

    Wafanyakazi wa huduma ya malezi ya watoto kote nchini Australia, wana tarajiwa kuongezewa mishahara, iwapo sehemu zao za kazi zita kubali kuto ongeza ada kwa zaidi ya asilimia 4.4 katika mwaka ujao.

  • Amedee "tunatoa mafunzo na uelewa kwa yaliyo fanyika Rwanda 1994"

    07/08/2024 Duración: 12min

    Onesho la hadithi za wahanga wa mauaji ya 1994 nchini Rwanda, lime zinduliwa katika jumba la sanaa mjini Sydney, Australia.

  • Kuelewa mfumo wa sheria wa Australia: sheria, mahakama na msaada wakisheria

    06/08/2024 Duración: 13min

    Mfumo wa sheria wa Australia ni mfumo changamano ulio undwa kudumisha utaratibu, kuhakikisha nakulinda haki za raia wake.

página 5 de 26