Sinopsis
Listen to interviews, features and community stories from the SBS Radio Swahili program, including news from Australia and around the world. - Sikiza mahojiano, makala na hadithi za jumuiya kutoka Idhaa ya Kiswahili ya SBS Radio, ikijumuisha taarifa za habari kutoka Australia na ulimwenguni.
Episodios
-
Taarifa ya Habari 6 Agosti 2024
06/08/2024 Duración: 18minAustralia imeongeza kiwango cha tisho la ugaidi kitaifa kutoka uwezekano hadi kuwezekana. Serikali imesema kuongezeka kwa itikadi kali katika wigo wa kisiasa na kiitikadi uko nyuma ya marekebisho hayo.
-
Kiwango cha tisho la ugaidi cha ongezwa kutoka "uwezekano" hadi "kuwezekana"
06/08/2024 Duración: 07minKiwango cha tisho la ugaidi cha Australia kime ongezwa kwa mara ya kwanza katika muongo.
-
Taarifa ya Habari 2 Agosti 2024
02/08/2024 Duración: 16minWaziri Mkuu amesema maoni ya watu wanao ishi na ulemavu yanasikizwa, kufuatia ukosoaji ulio ibuka kufuatia jibu la serikali kwa tume yakifalme kwa ulemavu.
-
Jeff "unaweza dhani ume mdhuru mtu mmoja tu, kumbe ume waathiri wengi zaidi"
02/08/2024 Duración: 05minHadithi halisi za wahanga wa mauaji ya 1994 nchini Rwanda, zime zinduliwa katika jumba la sanaa mjini.
-
H_art the Band kuhusu tamasha ya Australia
02/08/2024 Duración: 13minKundi la H_art the Band kutoka Kenya, lili kuwa mjini Sydney kwa tamasha yao ya miji 5 mikuu ya Australia.
-
Taarifa ya Habari 12 Julai 2024
12/07/2024 Duración: 15minPolisi wadai baba ambaye amefunguliwa mashtaka ya mauaji ya watoto wake watatu, inadaiwa walifunga milango kuwazuia watu kuondoka ndani ya nyumba iliyo kuwa iki ungua katika kitongoji cha Lalor Park mjini Sydney.
-
Sanaa inayo sherehekea uhusiano wa watu wa Mataifa ya Kwanza na bahari
12/07/2024 Duración: 05minNi wiki ya NAIDOC, wakati wakusherehekea historia, utamaduni na mafanikio ya watu wa Mataifa ya Kwanza.
-
Taarifa ya Habari 11 Julai 2024
11/07/2024 Duración: 06minJumuiya katika maeneo ya magharibi Melbourne, zime ambiwa kuepuka kiwanda cha kemikali ambako moto ulituma moshi wenye sumu angani mjini humo baada ya wazima moto kukabiliana na moto huo usiku kutwa.
-
Konje "walicho tumia kutuomba kura ndicho wanatumia kufanya maisha yawe ngumu"
10/07/2024 Duración: 08minMuswada wa fedha wa 2024 nchini Kenya, umevutia upinzani mkubwa kutoka wakenya wanao ishi Australia.
-
Umuhimu wa itifaki zawa Australia wa asili ni nini kwa kila mtu?
09/07/2024 Duración: 11minKuzingatia itifaki zakitamaduni zawa Aboriginal na wana visiwa wa Torres Strait wa Australia, ni hatua muhimu kwa kuelewa na kuwaheshimu wamiliki wa jadi wa ardhi tunako ishi.
-
Taarifa ya Habari 9 Julai 2024
09/07/2024 Duración: 18minWakaaji wa Alice Springs wame amka baada ya usiku wa kwanza wa amri ya kuto toka nje ambayo ili wekwa kwa ajili yakupunguza uhalifu.
-
Jinsi yakufanya rejesho lako la ushuru Australia
09/07/2024 Duración: 12minKama wewe ni mkaaji wa Australia kwa madhumuni ya ushuru, kuanzia Julai 1, ambayo ni mwanzo wa mwaka wa fedha, lazima uweke wazi mapato yote uliyopata katika mwaka uliopita wa fedha, dhidi ya makato yako ya kodi.
-
Taarifa ya Habari 5 Julai 2024
05/07/2024 Duración: 19minWaziri Mkuu Anthony Albanese amesema muda ambao Seneta Fatima Payman amefanya tangazo lake lakujiuzulu kutoka chama cha Labor ni swala linalo mhusu.
-
Phylis "naomba wakenya wadumishe amani na viongozi wasikize maoni yetu"
04/07/2024 Duración: 05minMaandamano ya vijana yanayo endelea Kenya, yame zua hisia mseto katika jamii.
-
Kinyua "tumekuja kuomboleza walio uawa katika maandamano Kenya"
04/07/2024 Duración: 12minWakenya wanao ishi Canberra, Australia walijumuika mbele ya ubalozi wa nchi yao kuonesha mshikamano na vijana wenzao.
-
Taarifa ya Habari 28 Juni 2024
28/06/2024 Duración: 17minVyama vya wafanyakazi wanaunga mkono haki ya wabunge wa chama cha Labor kuvuka sakafu na kupiga kura dhidi ya msimamo wa chama, wakisema hatua hiyo ina imarisha vuguvugu la Labor.
-
Indigenous art: Connection to Country and a window to the past - Sanaa ya watu wa Asili: Muunganisho wa Nchi na dirisha kwa siku za nyuma
27/06/2024 Duración: 09minEmbracing their oral traditions, Aboriginal and Torres Strait Islander peoples have used art as a medium to pass down their cultural stories, spiritual beliefs, and essential knowledge of the land. - Kukumbatia mila zao zaku simulia hadhithi, watu waki Aboriginal na wanavisia wa Torres Strait wame tumia sanaa kama mbinu yaku changia hadithi za utamaduni wao, imani za kiroho na maarifa muhimu ya ardhi.
-
Taarifa ya Habari 27 Juni 2024
27/06/2024 Duración: 06minMbunge wa chama cha Liberal Simon Birmingham amesema amefurahi kuona masaibu yakisheria ya Julian Assange yame isha ila, ilikuwa makosa kwa waziri mkuu kumpigia simu Bw Assange akimkaribisha nyumbani.
-
Makena "Viongozi wetu wajifunze kwa yaliyo fanyika Sri Lanka"
25/06/2024 Duración: 19minMaandamano dhidi ya muswada wa fedha wa 2024 nchini Kenya hatimae yamefika Australia.
-
Taarifa ya habari 25 Juni 2024
25/06/2024 Duración: 19minBaadhi ya wabunge huru wanataka makaazi yawekwe kuwa haki ya msingi ya binadamu nchini Australia.