Sbs Swahili - Sbs Swahili

  • Autor: Vários
  • Narrador: Vários
  • Editor: Podcast
  • Duración: 107:51:01
  • Mas informaciones

Informações:

Sinopsis

Listen to interviews, features and community stories from the SBS Radio Swahili program, including news from Australia and around the world. - Sikiza mahojiano, makala na hadithi za jumuiya kutoka Idhaa ya Kiswahili ya SBS Radio, ikijumuisha taarifa za habari kutoka Australia na ulimwenguni.

Episodios

  • Wahitimu wamatibabu wakimataifa wa elezea kero za sifa zao kutambuliwa Australia

    25/06/2024 Duración: 09min

    Takwimu mpya zina onesha ongezeko kwa idadi yama daktari, wauguzi na wataalamu wa afya wanao fanya kazi katika mifumo ya huduma ya afya nchini Australia.

  • Taarifa ya Habari 21 Juni 2024

    21/06/2024 Duración: 19min

    Australia ime ahidi kuendelea kuwasaidia wakaaji wa Papua New Guinea ambao wanapitia wakati mgumu kumudu maisha baada ya kukabiliwa kwa maporomoko mabaya ya ardhi mnamo Mei.

  • Taarifa ya Habari 20 Juni 2024

    20/06/2024 Duración: 07min

    Mwanaume mmoja amefikishwa mahakani leo kwa sababu ya dai la tisho la bomu lililo funga sehemu za mji wa Melbourne jana Jumatano mchana.

  • Patrick 'nimuhimu kwa wakimbizi kuja Australia wakiwa na leseni yakuendesha gari'

    20/06/2024 Duración: 17min

    Maadhimisho ya wiki yawakimbizi yalifanyika kote nchini Australia.

  • Taarifa ya Habari 18 Juni 2024

    18/06/2024 Duración: 17min

    Waziri mkuu wa China Li Qiang ameondoka Canberra baada ya siku yakihistoria ya mazungumzo yakidiplomasia ndani ya bunge la taifa.

  • Haki zangu zakidini zina lindwaje kazini?

    18/06/2024 Duración: 13min

    Nchini Australia, sheria dhidi ya ubaguzi katika sehemu za kazi kwa misingi yakidini hutofautiana katika mamlaka zote.

  • Taarifa ya Habari 17 Juni 2024

    18/06/2024 Duración: 05min

    Waziri wa kwanza wa China Li Qiang amekaribishwa ndani ya bunge la taifa, hiyo ikiwa ni ziara ya kwanza ya waziri wa kwanza wa China katika muda wa miaka 7.

  • Wafanyakazi wapato la chini kuongezewa mishahara kuanzia Julai 1

    18/06/2024 Duración: 08min

    Ma milioni yawa Australia watapata nyongeza ya asilimia 3.75 kwa mshahara wao.

  • Taarifa ya Habari 14 Juni 2024

    14/06/2024 Duración: 21min

    Maelfu ya wahamiaji waliokuwa wakitarajia kujisajili katika vyuo vya Australia, hawata weza tena kuomba viza wanazo hitaji.

  • Uhaba wa fedha wakwamisha shughuli za taasisi za Jumuiya ya Afrika Mashariki

    14/06/2024 Duración: 06min

    Taasisi kadhaa za Jumuiya ya Afrika Mashariki, zimejipata katika hali ngumu baada ya bajeti zao kuathirika sana.

  • Iyanii "fahari yangu imekuwa kubadilisha maisha ya wazazi wangu"

    13/06/2024 Duración: 15min

    Iyanii ni msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka Kenya, anaye zidi kuwa maarufu kila kukicha.

  • Taarifa ya Habari 11 Juni 2024

    11/06/2024 Duración: 18min

    Serikali ya Queensland inapanga kuwa na hatua zakupunguza shinikizo ya gharama ya maisha licha yakutarajia nakisi ya bajeti.

  • Baby blues au unyogovu wa uzazi? Jinsi yaku jisaidia pamoja na mpendwa wako

    11/06/2024 Duración: 13min

    Kama wewe ni mzazi mtarajiwa au mzazi mpya, huenda umesikia neno hili la kiingereza 'baby blues'. Maana yake ni hisia za uzoefu wa changamoto zaki hisia ambazo wanawake wanne kati ya watano hupata baada ya kujifungua.

  • Taarifa ya Habari 10 Juni 2024

    11/06/2024 Duración: 06min

    Upinzani wa shirikisho umesema una nia yakutekeleza Makubaliano ya Paris ila, uta futa malengo ya mazingira ya Australia yanayo ifunga kisheria.

  • Taarifa ya Habari 7 Juni 2024

    07/06/2024 Duración: 20min

    Waziri wa serikali ya shirikisho Bill Shorten amesema hawezi sema kama chama cha Labor kita weka chama cha Greens mwisho, katika kadi zao za maelezo ya jinsi yakupiga kura katika uchaguzi mkuu ujao kwa sababu ya msimamo wa chama cha Greens kwa mgogoro wa Gaza.

  • Kipsang "niki imba vilabuni naimbia watu wa Mungu"

    05/06/2024 Duración: 10min

    Kipsang ni msanii mzawa wa Kenya anaye tunga nyimbo naku imba katika lugha yaki Kalenjin.

  • Wafanyakazi wapato la chini kuongezewa $33 katika mishahara yao kila wiki

    04/06/2024 Duración: 08min

    Ma milioni yawa Australia watapata nyongeza ya asilimia 3.75 kwa mshahara wao.

  • Taarifa ya Habari 4 Juni 2024

    04/06/2024 Duración: 21min

    Serikali ya shirikisho inakana ukosefu wa ukuaji wa tija kwa zamu yake ambayo imewagharimu wafanyakazi wapato la chini nyongeza yajuu zaidi ya mshahara. Tume ya Haki ya Kazi ime inua kima cha chini cha mishahara na tuzo kwa asilimia 3.75 itakayo anza Julai 1

  • ANC yahamasisha umoja baada yakupoteza wingi bungeni, ila yataka kusalia madarakani

    03/06/2024 Duración: 08min

    Matokeo ya mwisho ya uchaguzi mkuu wa Afrika Kusini yame thibitisha mabadiliko makubwa katika nyanja ya kisiasa ya nchi hiyo.

  • Taarifa ya Habari 3 Juni 2024

    03/06/2024 Duración: 07min

    Mamilioni yawa Australia wata pata nyongeza ya asilimia 3.75 kwa mishahara yao, baada ya tume haki ya kazi kutoa uamuzi wake wa tathmini ya mwaka ya malipo.

página 7 de 26