Sinopsis
Listen to interviews, features and community stories from the SBS Radio Swahili program, including news from Australia and around the world. - Sikiza mahojiano, makala na hadithi za jumuiya kutoka Idhaa ya Kiswahili ya SBS Radio, ikijumuisha taarifa za habari kutoka Australia na ulimwenguni.
Episodios
-
Wasiwasi wabadilika kuhusu kufukuzwa nchini kwa raia wa New Zealand
31/05/2024 Duración: 08minSerikali ya Australia imesema ina uhakika inaweza simamia uhusiano wayo na New Zealand, licha ya wasiwasi ulio zuliwa kuhusu mageuzi kwa sera inayo julikana kama Direction 99.
-
Taarifa ya Habari 31 Mei 2024
31/05/2024 Duración: 19minDonald Trump amekuwa rais wa kwanza wa zamani wa Marekani kupatwa na hatai ya uhalifu, baada ya jopo la mahakama la wajumbe 12 mjini New York kumpata na hatia ya udanganyifu wa hati ili kuficha malipo ya kumnyamazisha nyota wa ponografia kabla ya uchaguzi mkuu wa 2016.
-
Vita vya Australia vilikuwa vipi na kwa nini historia haija vitambua?
31/05/2024 Duración: 15minThe Frontier Wars ni neno linalo tumiwa kuelezea zaidi ya miaka 100 ya migogoro ya vurugu kati ya wakoloni nawatu wa asili wa Australia, vilivyo tokea wakati wangereza walikuwa wakianza kuishi Australia.
-
Wa Australia wa Mataifa ya Kwanza wasema 'Sasa zaidi ya Wakati wowote' upatanisho wa kweli unahitajika
28/05/2024 Duración: 09minHii ni wiki ya Upatanisho, ina adhimisha tarehe mbili muhimu katika historia ya Australia kwa haki zawatu wa Mataifa ya Kwanza.
-
Taarifa ya Habari 28 Mei 2024
28/05/2024 Duración: 20minWaziri wa maswala ya kigeni wa Australia Penny Wong amesema shambulizi baya la anga la Israel katika mji wa Rafah, linatisha na halikubaliki. Takriban watu 45 wame uawa baada ya shambulizi hilo kusababisha moto mkubwa katika kambi ya mahema ya kitongoji cha Tel Al-Sultan.
-
Vital Kamerhe achaguliwa kuwa spika mpya wa bunge la DRC
28/05/2024 Duración: 06minWabunge wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, wamemchagua Vital Kamerhe, ambaye nyumba yake ilishambuliwa siku ya Jumapili, kuwa spika mpya.
-
Taarifa ya Habari 24 Mei 2024
24/05/2024 Duración: 15minNdege mbili za ziada zitatumika kutoka New Caledonia, serikali ya Australia ikiendeleza juhudi zakuwaleta nyumbani raia ambao wame kwama huko. Safari hizo za ndege ambazo zimefadhiliwa na serikali, zitaondoka kutoka eneo hilo la ufaransa katika Pasifiki leo Mei 24, baada ya zaidi ya wiki nzima ya migomo ambayo imesababisha vifo vya watu sita.
-
Kikomo cha umri wa viza 'isiyo haki' kuwalazimisha wanafunzi wakimataifa wa PhD kuondoka Australia
24/05/2024 Duración: 07minKikomo kipya kwenye visa maarufu ya wahitimu kina waacha wanafunzi wengi wakimataifa wa PhD nchini Australia waki kabiliwa na siku za usoni zisizo na uhakika.
-
Taarifa ya Habari 23 Mei 2024
23/05/2024 Duración: 06minRais wa Ufaransa Emmanuel Macron yuko katika Kisiwa cha Pasifiki cha New Caledonia, kwa mazungumzo yenye lengo laku geuza ukurasa kwa ghasia mbaya iliyo chochewa na mageuzi ya uchaguzi unaopingwa. Watu sita wamefariki katika machafuko hayo na takriban watu 300 wamekamatwa.
-
What were the Australian Wars and why is history not acknowledged? - Vita vya Australia vilikuwa vigani na kwa nini historia haivitambui?
22/05/2024 Duración: 11minThe Frontier Wars is a term often used to describe the more than 100 years of violent conflicts between colonial settlers and the Indigenous peoples that occurred during the British settlement of Australia. Even though Australia honours its involvement in wars fought overseas, it is yet to acknowledge the struggle that made it the country it is today. - The Frontier Wars ni neno linalo tumiwa kuelezea zaidi ya miaka 100 ya migogoro ya vurugu kati ya wakoloni nawatu wa asili wa Australia, vilivyo tokea wakati wangereza walikuwa wakianza kuishi Australia. Hata kama Australia ni taifa linalo enzi kushiriki kwalo katika vita ng’ambo, bado haija tambua vita vilivyo ifanya kuwa nchi iliyopo leo.
-
Taarifa ya Habari 21 Mei 2024
21/05/2024 Duración: 18minUpinzani wa shirikisho umesema serikali haina "mpango wa kuaminika", kulinda mtandao wa umeme wa Australia kupitia kuhamia kwa nishati mbadala.
-
Charlie "Tamasha ya Sawa Sawa ni jukwaa la watu kuonesha vipaji na biashara zao"
21/05/2024 Duración: 09minWana jumuiya wa Afrika wanao ishi mjini Sydney wamepata sababu yakufanya mtoko, ambao unajumuisha kila mwanachama wa familia.
-
Taarifa ya Habari 20 Mei 2024
20/05/2024 Duración: 08minSerikali ya Albanese imetetea hatua zakutoa afueni kwa gharama ya maisha, licha ya bajeti ya shirikisho kuipa serikali jeki ndogo katika kura za maoni.
-
Ukatili dhidi ya wanawake waiweka serikali ya Tanzania chini ya shinikizo
20/05/2024 Duración: 07minWatetezi wa haki za binadamu nchini Tanzania wameitaka serikali ya nchi hiyo kubuni sheria maalum kwa ajili ya kupambana na ukatili dhidi ya wanawake na wasichana kutokana na kuwepo kwa ongezeko la kubwa la ukatili katika kipindi cha hivi karibuni hali inayoendelea kutia wasiwasi.
-
Taarifa ya Habari 17 Mei 2024
17/05/2024 Duración: 17minKupungua kwa urasimu, bajeti iliyo rahisishwa, na kupungua kwa uhamiaji ni sehemu muhimu ya mpango wa chama cha mseto kwa Australia.
-
Bajeti yashughulikia maswala muhimu kwa jumuiya zatamaduni nyingi ila maelezo ya ziada yana hitajika
17/05/2024 Duración: 11minJamii za wahamiaji na wakimbizi zimekaribisha mipango katika bajeti ya shirikisho ila, wame sema maelezo zaidi yanahitajika kuhusu mikakati iliyo lengwa kwa wanachama wa jumuiya.
-
Jinsi ya kuomba kazi
15/05/2024 Duración: 11minUnapo ona tangazo la kazi linalo kuvutia, kuelewa hatua zinazo fuata ni muhimu.
-
Namna yakupata leseni yakuendesha gari
15/05/2024 Duración: 12minKuendesha gari hutoa uhuru na huongeza fursa zakupata kazi ila, shughuli hiyo huja pia na wajibu mkubwa waku hakikisha usalama barabarani.
-
Taarifa ya Habari 14 Mei 2024
14/05/2024 Duración: 17minMweka hazina Jim Chalmers amesisitiza bajeti atakayo tangaza inahusu kuweka shinikizo yakupunguza mfumuko wa bei.
-
Watu saba wauawa kwa shambulizi la bomu Mkoani Kalehe DRC
14/05/2024 Duración: 09minHali ya usalama inaendelea kuwa mbaya Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.